Saturday 20 June 2015

MPYA YA SHILOLE-MALELE!

ALLI KIBA AWA BALOZI WA WILD AID TANZANIA


I am honoured to lend any support that I can to this effort to protect our wildlife. Our beautiful elephants must be allowed to live - free and wild - instead of ending up as a carving on somebody's coffee table.#AmbassadorAlikiba #wildaid

VIJANA NA STYLE ZA HIJAB!

Look 5: Feeeeya

AJIRA JESHI LA UOKOAJI NA ZIMAMOTO NAFASI ZAIDI YA 1000

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI
JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI
TANGAZO LA AJIRA

KOREA KASKAZINI WADAI KUGUNDUA DAWA YA UKIMWI



Korea ya Kaskazini imesema kuwa imegundua Tiba ya UKIMWI kutoka kwenye mmea. Uthibitisho wa Kisayansi kutoka Nchi nyingine haujafanyika kuthibitisha tiba hiyo.
-Kwa mujibu wa tovuti moja ya Korea ya Kaskazini, dawa hiyo kwa mara ya kwanza iligunduliwa mwaka 1996.

MAAFISA WA POLISI WASHAMBULIWA BURUNDI

Maafisa wa polisi nchini Burundi
Kumekuwa na msururu wa mashambulizi ya maguruneti kuwalenga maafisa wa polisi katika mji mkuu wa Burundi Bujumbura.

Tanzanian Model Flaviana Matata is the Cover Girl for New African Woman Magazine’s Latest Issue!

2We love the African touch for both covers of New African Woman magazine’s latest issue with Tanzanian model Flaviana Matata as the cover girl.

Oh! Oh! Mlango Wa Watangaza Nia Urais Unakaribia Kufungwa..



Oh! Oh! Mlango Wa Watangaza Nia Urais Unakaribia Kufungwa..

PENDEZA NA MISHONO/ MITINDO YA VITENGE!


The "Bill Gates of Africa".

Anesi (16 years old) and his brother Osine (14 years old), are two remarkable young boys from Nigeria.

Rudisha Heshima Ya Ndoa Nyumbani


Habari ndugu kutokana na Maisha tunayoishi hivi sasa (Lifestyle) vyakula vingi tunavyokula havina virutubisho vyenye viini lishe vya kutosha ambavyo husaidia miili yetu iwe na afya bora na kufanya kazi vizuri hivyo basi hupelekea wanaume wengi hasa Mjini kupoteza heshima katika ndoa zao.
Zipo bidhaa zetu ambazo zinasaidia kuboresha na kurudisha Heshima Ya Ndoa Ndani Ya Nyumba. Na bidhaa hizi ni za asili (Organic) hazina kemikali hatarishi au madhara kwa mtumiaji.
1. ARGI +
2. MULTI MARCA
3. ALOE VERA GEL
4. GIN-CHIA.

Kwa maelezo zaidi piga ‪#‎Simu‬ no. +255 783 149 561 ‪#‎WhatsApp‬ ‪#‎InboxMe‬

Live Your DREAMS

https://coolinterviews.files.wordpress.com/2013/08/dreams.jpg
Live Your DREAMS
You have a dream, why not live it?
Why not be all you can be?
Why not live life to the full?
If you are afraid of death, you can't discover the joy of living!
Pursue your dreams.Embrace your vision.Run after your destiny.

BACK IN THE DAYS!

MAYAI YASIPOIVA VIZURI NI HATARI KWA AFYA


Mayai ni moja ya vyakula vyenye viini lishe muhimu kwa ajili ya afya ya mwili wa binadamu. Kwa kawaida mayai kabla ya kuliwa, huandaliwa kwa njia mbalimbali ikiwa ni pamoja na kuchemshwa, kukaangwa au kuchanganywa na vyakula vingine kama vipande vya viazi mviringo ambavyo ni maarufu kwa jina la chips.

HATIMAYE VIJANA WANAOSAFIRI KWA BAISKERI KUTOKA MBEYA KUELEKEA DAR ES SALAAM WAVUKA SALAMA HIFADHI YA TAIFA YA MIKUMI.‏




 Hii ilikuwa tarehe 15.06.2015 ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Abbas Kandoro aliwaaga rasmi vijana hao ili kuanza safari yao kutoka Mbeya kwenda Dar.

WEMA ASEMA TENA YOOTE!

MLO UNAOFAA KWA WANAOFUNGA




Kufunga ni jambo kongwe na linafanywa na wafuasi wa dini mbalimbali na makundi mengine ya watu. Sababu za kufunga ni nyingi, miongoni ni kufuata mafundisho ya dini au ushauri wa daktari. Wiki hii Waislamu wameanza kufunga Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.

NOBODY BUT ME-VANESA MDEE ASHIKA NO 1 NDANI YA SOUTH AFRIKA

Vee Money
Good news mtu wangu! Mtu wetu Vanessa Mdee anazidi kufanya vizuri katika chati za radio countdown kwenye baadhi ya nchi za Africa, na leo hit song ya Vanessa MdeeNobody but me aliomshirikisha msanii kutoka South Africa K.O imeshika namba mojakatika countdown ya Africa Boom Box ya Y.Fm radio iliyoko South Africa. 

RAIS DKT. JAKAYA MRISHO KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO RASMI NA WAZIRI MKUU WA INDIA

 03
Waziri Mkuu wa India Narendra Modi akimsikiliza kwa makini Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika katika ikulu ya New Delhi India baada ya viongozi hao wawili na ujumbe wao kufanya mazungumzo rasmi.
(picha zote na Freddy Maro)

MUFTI MPYA KUPATIKANA NDANI YA SIKU SABA


Baraza Kuu la Waislamu nchini (Bakwata),  limesema litatangaza mrithi wa Mufti wa Tanzania ndani ya siku saba kuanzia jana.

MAGAZETINI LEO JUMAMOSI 20 JUNE 2015

DSC09630

LINEX-AIFOLA

Friday 19 June 2015

PUNGUZO LA ADA ZA ARDHI ISITUMIKE KUNUFAISHA MATAJIRI WACHACHE

Wananchi wa eneo la Kigamboni wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi wakati akizungumza na wananchi hao kuhusu uamuzi wa serikali kuwaruhusu kuwa sehemu ya uendelezaji wa Mji mpya wa Kigamboni katika mkutano uliofanyika viwanja vya Chuo cha Mwalimu Nyerere.

WIKI iliyopita Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi iliwasilisha bajeti yake ya mwaka 2015/16 ambapo wabunge wengi wakiwamo wa kambi ya upinzani waliipitisha kwa shangwe.

SHILINGI INAACHWA IPOROMOKE MPAKA WAPI?



Mkutano wa Bunge la Bajeti unafikia ukingoni wiki ijayo. Mengi yamezungumzwa na kutolewa ufafanuzi. Wizara za serikali zimewasilisha makadirio ya matumizi yake na bajeti kuu ya Sh. trilioni 22.4 imesomwa kujadiliwa na hakuna shaka kuwa itapitishwa.

ALIYETEKA ALBINO TABORA AFUNGWA JELA MIAKA 10‏

Masanja Mwinamila (44) mara baada ya kufikishwa katika kituo cha Polisi Wilaya ya Nzega Juni 15, 2015.

MREMBO WETU WA LEO! ZUBEYDA!!


MAVAZI YA LEO!




TOP IN TOWN!

MAGAUNI YA HARUSI!

VITENGEZZ!


MTANZANIA AKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA UWANJA WA NDEGE WA MUMBAI INDIA



Mtanzania, Fatma Chambo Basil amekamatwa Uwanja wa ndege wa Mumbai, India akiwa na kilo 74 za Dawa za Kulevya aina ya methaqualone.
-Alikamatwa Jumatano akiwa na Hati ya kusafiria ya Tanzania akijianda kuja Dar es Salaam kupitia Doha, Nchini Qatar.

MAUAJI YAZUA MJADALA WA UBAGUZI MAREKANI

Kanisa la Charleston
Utumizi wa neno ''uhalifu wa chuki'' ili kuelezea mauaji ya watu tisa katika kanisa moja la watu weusi mjini Carolina Kusini nchini Marekani umezua mjadala kuhusu ni nini haswa kinachosababisha mtu kutekeleza ugaidi.

Kelly Rowland Channels Diana Ross On New Spread With Mane Addicts.



Kelly Rowland Channels Diana Ross On New Spread With Mane Addicts.

MAMA SALMA KIKWETE ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA INDRA GANDHI NA KIWANDA CHA KUTENGENEZA MATREKTA CHA NEW HOLLAND TIAT HUKO NEW DELHI.‏

01
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiongozana na Mke wa Balozi wa India nchini Tanzania Mheshimiwa Debnath Shaw wakielekea kwenye jengo la Makumbusho ya Indra Gandhi huko New Delhi tarehe 18.6.2015. Mama Salma yupo nchini India akiambatana na Rais Kikwete kwenye ziara siku 4 ya kiserikali  kwa mwaliko wa serikali ya India.

56 Year Old Angela Bassett Looks Amazing In A Tamara Mellon Dress

Tuwe Wakweli: Tusimnange Wema Sepetu; Wengine Wanagombea Kwanini Asigombee? JAMII FORUMS



Yote Tisa: Kama watu wanaogombea wako hivi kwanini Wema naye asigombee? Ukikubali kina fulani wagombee basi na kina fulani nao waachwe wagombee. Watanzania wakiwachagua wataishi na uchaguzi huo kwa miaka mitano. Kama ana mashabiki wake katika Bongo Movie na hata nje ya Bongo movie kwanini asigombee? 

ILIYONIKOSHA!

NYUMBA ZA KISASA!

projekt-domu-elegancki-dom-z-poddaszem-lukarnami-i-balkonami-na-pietrze-w-stylu-klasycznym-1802-1

35 WAFA KWA KUNYWA GONGO NCHINI INDIA

Watu wapatao 35 wamekufa katika mji wa Mumbai nchini India baada ya kunywa pombe haramu.

KASSAV!

JAJI RAMADHANI AWAVURUGA WAGOMBEA URAIS CCM

Hatua ya Jaji Mkuu wa zamani wa Tanzania, Augustino Ramadhani kujitosa kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania urais imewavuruga wagombea wenzake wa urais na kuibua mjadala mzito katika maeneo mbalimbali nchini.

HII NI SAWA?



Moja kati ya matukio ya Jeshi la polisi Tanzania ambayo kamwe siwezi kuyasahau!! RAIA anaetakiwa kulindwa, kuheshimiwa utu wake na kupewa haki stahiki zote zinazo mhusu....Leo anapigwa kama mbwa mwitu ndani ya nchi yake mwenyewe. Tayari police walikwisha mkamata huyu mtu, hebu jiulize....kipigo walichokuwa wanapiga na tayari wameshamkamata kilistahili?

RAIS DKT.JAKAYA MRISHO KIKWETE AKUTANA NA WATANZANIA WAISHIO INDIA-AKUTANA NA WAWEKEZAJI

01
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa ubalozi wa Tanzania nchini India na familia zao jana muda mfupi baada ya kuzungumza nao katika hoteli ya Taj Mahal Palace jijini New Delhi India ambapo yuko kwa ziara ya kiserikali.

WEMA NA SAFARI YA UBUNGE


Namshukuru Mungu kwa yote.. na sasa safari kuwania ubunge imeanza salama Singida... nashukuru mashabik wangu mnanipokea vzuri sana.. yaani nawapenda mnooo.. Mungu awajalie yaliyo kheri!!! kweli Wanawake tunaweza.

MAGAZETI YA LEO IJUMAA 19 JUNE 2015

IMG_1404

Thursday 18 June 2015

MWANAMKE KANYAGIO!

AZZY MLEMAVU MWENYE KIPAJI CHA HALI YA JUU



MSANII wa Hip Hop Bongo ambaye ni mlemavu wa viungo, Ahazi Eliah ‘Azzy’ juzikati alidhihirisha kipaji cha hali ya juu ‘alipotimba’ ndani ya Ofisi za Global Publishers, Bamaga-Mwenge jijini Dar leo.

MUHOGO WA NAZI NA SAMAKI WA KUKAANGA!

   
Vipimo
Muhogo                                             3                                             
Tui La Nazi                                        2 vikombe

MUUAJI WA WATU TISA KANISANI AKAMATWA

Mshukiwa wa mauaji ya watu tisa katika kanisa moja la kihistoria mjini Carolina Kusini amekamatwa.

MAPISHI YA LEO!

KHANGA DRESSES!



PICTURE OF THE DAY!


WATOKA MBEYA KUELEKEA DAR KWA BAISKELI

 Hapa wanajiandaa kuanza kushusha Mlima Kitonga

MWANAMKE "MADINI"


 

The white gunman who shot dead NINE people in mass 'race-hate' shooting at historic black church in Carolina before sparing one woman and telling her, 'tell the world what happened'

Suspect: The suspect is described as a clean-shaven, 21-year-old white male and is believed to be wearing a gray, hooded sweatshirt, blue jeans, and Timberland boots

  • The white gunman opened fire at the historic Emanuel AME church in Charleston, South Carolina killing nine people 
  • He let one woman escape so she could tell the world what happened while a child survived by playing dead  
  • DANGOTE: NITAINUNUA ARSENAL

    Mfanyibiashara tajiri zaidi barani Afrika kutoka Nigeria Aliko Dangote anapania kununua klabu ya Arsenal ya Uingereza.
    Mfanyibiashara tajiri zaidi barani Afrika kutoka Nigeria Aliko Dangote amesema kuwa anapania kununua klabu ya Arsenal ya Uingereza.

    NAFASI ZA KAZI KATIKA TAASISI ZA UMMA.




    SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
    Kumb. Na EA.7/96/01/H/57 15 Juni, 2015
    TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI
    Sekretariati ya Ajira katika Utumishi wa Umma ni chombo ambacho kimeundwa kwa mujibu wa Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 ya mwaka 2002 kama ilivyorekebishwa na Sheria Na. 18 ya mwaka 2007 kifungu 29(1). Kwa mujibu wa Sheria hiyo, chombo hiki, pamoja na kazi zingine kimepewa jukumu la kutangaza nafasi wazi za kazi zinazotokea katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Waajiri (Taasisi za Umma)
    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira Katika Utumishi wa Umma anakaribisha maombi ya Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi 658 za kazi kwa waajiri mbalimbali.



    TANZIA: MWANDISHI WA TBC FLORENCY DYAULI AFARIKI DUNIA



    1. ‪Mwandishi wa habari mwandamizi wa Shirika la Utangazaji nchini

      TBC FLORENCY DYAULI amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kuugua.

    SHIRIKA LA OXFAM LAKABIDHI VITUO VYA KUSINDIKA NA KUHIFADHI MAZIWA KWA WANAWAKE WA VIJIJI VINNE VYA WILAYA YA NGORONGORO‏

    Mkurugenzi wa Wilaya ya Ngorongoro John Kulwa Mgalula akikata utepe kama ishara ya kuzindua  rasmi kituo cha kuhifadhia na kusindika maziwa 
     

    ADVERTISE WITH US

    AFRICAN FASHION

    PLACE YOUR ADS HERE!